Kiongozi Bora Ni Yupi? Mwl. Jk Nyerere ✔

Mwalimu Nyerere aliamini kuwa kiongozi hawezi kutenganishwa na maadili yake. Kiongozi bora ni yule ambaye mikono yake ni safi—asiyejilimbikizia mali kwa kutumia madaraka yake. Alituonyesha kuwa uongozi ni dhamana, si fursa ya utajiri. Katika "Azimio la Arusha," alisisitiza kuwa kiongozi lazima aishi maisha yanayoakisi hali halisi ya watu anaowaongoza.

Kama alivyopata kusema: "Uongozi ni kielelezo. Kiongozi lazima awe mfano wa kile anachohubiri." KIONGOZI BORA NI YUPI? MWL. JK NYERERE

Tukirejea maisha ya Mwalimu JK Nyerere, tunajifunza kuwa uongozi si vyeo, ving’ora, wala majumba ya kifahari. Uongozi bora ni . Ni kiongozi anayethamini binadamu wenzake, anayesimamia haki, na anayeacha alama ya maendeleo ya kijamii na kiroho kwa watu wake. tunajifunza kuwa uongozi si vyeo

Pin It on Pinterest

Share This